TOP 5: Wachezaji "WANAO-DHARAULIKA" zaidi Tanzania -TPL.

52,467 Views

Published At : May-03-2019

Publisher : Sekwao Mwendi

Category : Sports

#Under-rated #TPL #SoccerData Mchezo wa Mpira wa miguu una hii tabia. Tabia ya kuwachukulia poa baadhi ya wachezaji licha ya kazi kubwa wanayoifanya uwanjani. Kiukweli ukubwa wa majina yao si sawa na kazi wanayoifanya uwanjani. Uwanjani wanafanya kazi kubwa lakini midomomni hawatamkiki, na hata wakitamkwa basi huwa si kwa wema. Na hii hutokea baada ya kufanya kosa moja, na kwa bahati mbaya mashabiki huwahukumu milele na hata vyombo vya habari huwanyima nafasi hata ya kuwazungumzia kwa mazuri. Kwa ligi ya Tanzania, wachezaji kama hawa wapo wengi lakini Kandanda inakuletea wachezaji watano wanaobezwa zaidi, licha ya uwanjani kufanya kazi nzuri. endelea na makala hii... PLEASE SUBSCRIBEAdvertisement

You Might Also Like.